Sheria ya Marsabit Climate Change Fund Act 2020 inawezesha miradi inayosaidia jamii kujimudu kutokana na madhara ya kuharibika kwa hali ya anga. Wewe kama mkaaji wa Kaunti ya Marsabit una jukumu kuhusika katika kuchangia aina ya miradi ambayo inafaa kufadhiliwa na hizi fedha za mazingira.
Unaweza changia katika wodi yako kwa kupeana maoni kwa Kamati ya Mazingira ya Wodi yako ambayo itakuwa imechaguliwa na wananchi wenyewe. Una Sauti. Tuna Sauti kama wakaaji. Kaunti Yetu. Mazingira Yetu. Sauti Zetu. Husika Sasa.
Leave A Comment